goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Kutubu ukitoka road unameet na mtoto pin , kisu , bakuli, sufuria, n.k unaingia na tamaa upya.Hapana Mkuu mie nakwambia tu usisahau kutubu.
Kutubu ukitoka road unameet na mtoto pin , kisu , bakuli, sufuria, n.k unaingia na tamaa upya.
Mmmh... Hayo majaribu kufanya dhambi kwa makusudi.Kutubu dhambi si mara moja Mkuu unaweza kutubu hata mara milioni mradi tu unakubali dhambi zako. Mwenyezi Mungu ni mwema na mengi hutusamehe kwa kujua mapungufu yetu kama binadamu.
Project ya mwaka gani hii?Wiz kid ft lil Wayne, jhene aiko - Gucci girls.
Ya kibabe sanaEscobar season has returned.
Nas escobar ft puff daddy - hate me now.
Mwaka huu ingia you tube imetoka juzi 24 of April 2018.Project ya mwaka gani hii?
Aisee ngoja niende fasta nikacheck ila huyo demu aliopewa mashavu humo ndani Hiiiii [emoji119]Mwaka huu ingia you tube imetoka juzi 24 of April 2018.
Mmmh... Hayo majaribu kufanya dhambi kwa makusudi.
ππππππ*Upo club unadance peke yako mdogomdogo..Mara gafla kademu kanakusogelea kanakuangalia kanatabasam.... Unaanza kushukuru Mungu umepata wa kucheza nae....mnacheza kama dk.30 then kanakunong'oneza kwa skio yako "nipe elfu 30 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende kulala nawewe" mwanaume huna kitu kwa M pesa wala tigopesa lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima.... Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka,unashukuru sana ila......After 2mins kanarudi na power bank*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndipo utajua kwanini idd Amini alikua wakiume akaitwaa dada
Tuko pamoja mkuuMko wapi