ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Salaam TanangoziSalaam IRINGA, Jambo GANGILONGA
Salaam TanangoziSalaam IRINGA, Jambo GANGILONGA
Asante, ukija huku uje nayoSalama mkuu, karbu mafuta ya alizeti
Hongera Dodoma city, (DC)Salaam DODOMA, Jambo JIJI Kijijini
Karibu Mdaula wakazi 126Salaam DAR ES SALAAM, Jambo wakaazi milioni 6.5
7. Ndege hao wamekuwa na tabia katika msimu fulani kuruka na kufika katika Hifadhi ya Taifa ya Kitulo kwa ajili ya kutaga mayai na kuangua vifaranga kutokana na mazingira ya hifadhi hiyo kuonekana kuwa ni mahali pekee duniani penye hali ya hewa rafiki kwa ndege hao kuzaliana. Hivyo baada ya kutaga mayai, kuangua vifaranga na ndege kukua, huruka na kwenda mabara mengine duniani.
9.Hifadhi ya Kitulo pia inasifika kwa kuwa na zaidi ya aina 40 za maua mbalimbali ambayo hayapatikani sehemu nyingine duniani.
Mahondaw acha kabisa aibu imewaingia watu jana ilikuwa mbaya kuliko.