andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mkuu unaliamsha DUDE asubuhi yote hii? Mkuu unapenda ugomvi haijawahi tokea[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nsamaka njoo! Yule mtu wako kaanza tena yale mambo yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unaliamsha DUDE asubuhi yote hii? Mkuu unapenda ugomvi haijawahi tokea[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nsamaka njoo! Yule mtu wako kaanza tena yale mambo yake [emoji23][emoji23][emoji23]
I like itNaku admire sana
Morning kiss to you[emoji8] [emoji8] [emoji8]I like it
Waache waoaneeeNsamaka njoo! Yule mtu wako kaanza tena yale mambo yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kama tutapata wanamuziki wenye kutunga nyimbo zenye ushauri kama wakongwe hawa??! Sasa ni... Nani kamwaga pombe yangu, nauliza... Jamani?[Ngurumo]
Unapotoka kazini unapitia kwenye baa
Unapokuta marafiki unaagiza LETE KAMA TULIVYO!
[Ngurumo]
Unaporudi nyumbani umelewa kibao
Unamwambia mama watoto PESA ZOTE ZIMEIBIWA!
[Wote]
Unapokuwa huna pesa nyumbani hutoki
Mwisho wa mwezi unapofika Kasimu huonekani
[Ngurumo]
Unapotoka kazini unapitia kwenye baa
Unapokaribishwa kiti unaagiza nyingine KEEP CHANGE mama ee
[Wote]
Unapokuwa huna pesa nyumbani hutoki
Mwisho wa mwezi unapofika Kasimu huonekani
Hakika, habari ya asubuhi mkuukumekucha
toa likesVery a
Good morning kwanza mkuuNimekuja tena kugawa malike
sijambo kabisa mkuu lee empire.Tuko poaa ..wewe je
toa likesHixifof9f9g
pokea like kwa kutokulala.... ulikuwa wafanya nn kelvin marcusWameamka freshi ila mimi sikulala
Muruwaah kabisa... habari ya wewe?Tuko salama Jakitoo. Ulilalaje baada ya kuimba nyimbo zile tamu? Nakutakia siku njema!