[emoji8][emoji8][emoji4][emoji4][emoji4]Hakuna wa kukusumbua tena
HahahahaChuma kizito hiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa naratibu maandamano ya Da Mange nashinda kule Siasani na International Forum.
😀😀😀😀
[emoji106] ISISHahahaha
Mambos?
Kwema lakini rafiki angu?[emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23]Habari iliyotawala leo humu ndani ni kuhusu kucha za mjumbe mmoja,
Wachangiaji wote wamekubaliana kwa pamoja kuwa kucha hizo ni za Davert.
Yeuwii eehhOoooohooo View attachment 757922
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sidhani kama atawabadirisha watu kuhusu mmiliki wa kucha hizo madhubuti.