Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole. Ban siyo nzuri. Lazima utakuwa ulimporomoshea mtu matusi. Ngoja nikupe likes za kutosha..
Sijatukana MTU BHANA ni hii Grand Giveaway 2017. Promotion ya kushinda GARI la bure from CAR FROM JAPAN iliniponza nazani, nilikuwa naipost mara kwa mara basi mod mmoja wivu ukamjaa na akanipa ban[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom