The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
Ngoja nianze na hii[emoji125] [emoji125] [emoji125] anzia hapa rudi nyuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] jana nilianza saa 11:47 jioni nimemaliza saa 5:22 usiku. Speed ya jana ilikuwa haifai.
Jisajili hapa ushindee GARI Grand Giveaway 2017TOA LIKES UPATE LIKES. Hii ndiyo MO ya huku!
Mkuu me mzima vp kwako uzima upoWeka likes pata malike
huyo ni mamluki.. anajua akipost wata likes bwerereukhuty toka mwanzo watu hawaoni likes zako mama
OK. Jua lishachomoza mkuu. Kushapambazuka na dalili njema zishaonekana...Oooh Mkuu niwe mkweli Numbisa hajajibu lolote
Nyota njema huonekana asubuhiOK. Jua lishachomoza mkuu. Kushapambazuka na dalili njema zishaonekana...
HahahahaEti 200 utapata voucher?
Mbali na utapeli wao na uuzaji wa unga wana shida gani nyingine?Duh! Pole zao! Hawa watu wana roho mbaya sana Yaani nawapiga ban hakuna ruhusa ya kuingia TANZANIA yetu milele yote!
TOA LIKES POKEA LIKES!Bas sawa
That's enough my dear!Mbali na utapeli wao na uuzaji wa unga wana shida gani nyingine?
Sijatukana MTU BHANA ni hii Grand Giveaway 2017. Promotion ya kushinda GARI la bure from CAR FROM JAPAN iliniponza nazani, nilikuwa naipost mara kwa mara basi mod mmoja wivu ukamjaa na akanipa ban[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Pole. Ban siyo nzuri. Lazima utakuwa ulimporomoshea mtu matusi. Ngoja nikupe likes za kutosha..