Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijatukana MTU BHANA ni hii Grand Giveaway 2017. Promotion ya kushinda GARI la bure from CAR FROM JAPAN iliniponza nazani, nilikuwa naipost mara kwa mara basi mod mmoja wivu ukamjaa na akanipa ban[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kumbe ni mambo ya scam. Naona unairudia tena. Angalia usilimwe ban nyingine[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…