Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Zingatia tu nawe kugawa likes huku...Hawa jamaa wanakulipa kiasi gani au ni owner wa hiyo biashara?I don't care BHANA wacha watu wajisajili bureee na wenye bahati washinde GARI bhana, wengine hawana magari Grand Giveaway 2017
Bado kabisa!Wahenga bwana. Asubuhi yenyewe hata nyota hazionekani [emoji23][emoji23][emoji23]
toa likes upate likesRaia mmeshaanza kusinzia mapema leo???
Nagawa likes kama kawa, hawanilipi chochote BHANA umaskini tu huu nami na ndoto ya kumiliki mkoko tu basi, au nikishinda niuze nipate capital nifanye businessZingatia tu nawe kugawa likes huku...Hawa jamaa wanakulipa kiasi gani au ni owner wa hiyo biashara?
Bahati nasibu nazijua mkuu. We hapa kula likes tu basi!Siyo scam brother ni halali kabisa hakuna kuombwa pesa wala ni nini ukibofya hiyo link utaona menyewe kwamba sio utapeli,
Likes utapata ila na wewe kumbuka kutoa likes pia...Naombeni likes wakuu..
Kwa kwelitoa likes upate likes
Nawe kula likes brazaBahati nasibu nazijua mkuu. We hapa kula likes tu basi!
Nipe malike nikupe malikesWe are the chosen ones kwa kweli! Ngoja nikupe likes
Ukifika shinynga unitafute kimya kimya andjul asijue.Nipo nzega
QUIGLEY vp kakaThe chosen
Wale ni kaka zangu,halafu jana ulilala wapi? Kumaliza kesi nataka mpesa icheke sasa hv.Na hiyo mibaba inayo kutongoza kwa kilugha ni minani?