Hahahah!Usinifanye nikashusha gazeti hapa mkuu...
[emoji654]️Tunavuta hewa na siyo upepo...
[emoji654]️Upepo huvuma lakini siyo hewa...
[emoji654]️Upepo ni hewa lakini hewa siyo upepo....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]First born...SYB Jr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Smart girl....[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hahahah!
Kwahiyo kwa maana nyingine twaweza sema upepo ni hewa iliyo katika mwendo??
Huu mkimbizano huu sijui utaisha lini. Kwema jirani?Mchana unakimbia
[emoji120]Smart girl....[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
A++++
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️.......kutoka eneo lenye mgandamizo mkubwa wa hewa kuelekea kwenye eneo lenye mgandamizo mdogo.