18:3918:30
Vidumu daimaAmani na upendo
UmenenaKila jambo na wakati wake
Kwa kula mmojaHaki na wajibu
Utu na usawa
KweliAmani na upendo kwa wana likes
Ni poa sana BAK Mungu ni mwema. Weekend iko njema nasikiliza music tu.Kwema kabisa ledada namshukuru Mwenyezi Mungu nipo hapa naangalia mpira. Vipi wewe hali yako na weekend?
Ni poa sana BAK Mungu ni mwema. Weekend iko njema nasikiliza music tu.
Ndioo BAK and nampenda Luther pia he had that sexy voice aisee apumzike kwa amani[emoji120]Na huu pia [emoji14]