Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sheria zimewekwa ili zivunjwe walau mahakama jela police na kwingine wapate wateja
Kama lengo la sheria ni kuzivunja basi zisingesimama kwa sababu zingekuwa na inherent contradiction ndanimwe.

Sheria zipo ili kuhakikisha kuwa kuna harmony katika jamii (morality) na kuepuka anarchy na lawlessness ambayo kimsingi ndiyo nature ya binadamu. Vyombo vya dola ni matokeo tu lakini siyo lengo mama la sheria.
 
Ahaa kumbe!! shukrani kwa kunielewesha!! Elimu haina mwisho leo nimeongeza maarifa..

Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…