Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inawezekana sana tu rafiki kuna evidence zinaonesha kabisa kuwa hiki kitu ni certain ana not error!
Pengine ni kweli kama unaamini katika absolute truths. Wengine wanaamini kwamba hakuna kitu ambacho ni kweli kabisa kabisa kwa asilimia 100 kwa sababu kama binadamu na milango yetu hii dhaifu ya fahamu hatuna uwezo wa kuuona ukweli kwa asilimia zote. Ajabu hata binadamu mwenye akili pengine kuliko wote waliowahi kuishi (Albert Einstein) naye akatuletea mambo ya relativism...

Kula likes Carrissa...
 
Hahahaah mkuu unanikumbusha mbali sana philosophy enzi hizoo mambo ya epistemology! Asante sana
 
91d3c6184f238de44bc156534e44936b.jpg
AMUN RA
 
Back
Top Bottom