Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Is truth relative or universal??Pengine ni kweli kama unaamini katika absolute truths. Wengine wanaamini kwamba hakuna kitu ambacho ni kweli kabisa kabisa kwa asilimia 100 kwa sababu kama binadamu na milango yetu hii dhaifu ya fahamu hatuna uwezo wa kuuona ukweli kwa asilimia zote. Ajabu hata binadamu mwenye akili pengine kuliko wote waliowahi kuishi (Albert Einstein) naye akatuletea mambo ya relativism...
Kula likes Carrissa...