goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Ndoa siyo poa, unatoa milioni ya gharama mwisho wa siku unapata maumivu na alama. [emoji23]Hakika
Ndo ni utayari sema watu siku hizi wanachukulia kama fashion
Ndoa siyo poa, unatoa milioni ya gharama mwisho wa siku unapata maumivu na alama. [emoji23]Hakika
Ndo ni utayari sema watu siku hizi wanachukulia kama fashion
Hilo ni la muhimu bestWeeee muhimu kuwahi kutumikia ndoa
Kwa mama ntilie hela za michango zilibaki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu wanakula wapi?
Kama ulioa au kuolewa kwa kufata mkumbo maumivu na alama hutayaepuka.Ndoa siyo poa, unatoa milioni ya gharama mwisho wa siku unapata maumivu na alama. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chizi weweKwa mama ntilie hela za michango zilibaki. [emoji23]
Ndio hivyo aiseeHilo ni la muhimu best
Umemaliza kula?Ndio hivyo aisee
Mtindo wa maisha pia unachangia, maisha yakiwa magumu inabidi uolewe kupata huduma au kuoa ili kuhudumiwa vyema ila baada ya miaka 5 unakinai ndoa, ni sawa na kula wali nyama kila siku takribani mwezi 2 lazima ubadili mlo ule Ndizi, pilau, chipsi, makande... N.k [emoji87] [emoji23]Kama ulioa au kuolewa kwa kufata mkumbo maumivu na alama hutayaepuka.
Tayari kitambo nilikua nagusa tu kipande cha Pizza na kipaja cha kuku [emoji16]Umemaliza kula?
[emoji85] [emoji188][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chizi wewe
Kweli lakini, ila mimi siwwzi kuolewa sababu ya maisha magumu Mungu anisimamie tu katika hili waiii [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Mtindo wa maisha pia unachangia, maisha yakiwa magumu inabidi uolewe kupata huduma au kuoa ili kuhudumiwa vyema ila baada ya miaka 5 unakinai ndoa, ni sawa na kula wali nyama kila siku takribani mwezi 2 lazima ubadili mlo ule Ndizi, pilau, chipsi, makande... N.k [emoji87] [emoji23]