Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama ulioa au kuolewa kwa kufata mkumbo maumivu na alama hutayaepuka.
Mtindo wa maisha pia unachangia, maisha yakiwa magumu inabidi uolewe kupata huduma au kuoa ili kuhudumiwa vyema ila baada ya miaka 5 unakinai ndoa, ni sawa na kula wali nyama kila siku takribani mwezi 2 lazima ubadili mlo ule Ndizi, pilau, chipsi, makande... N.k [emoji87] [emoji23]
 
Kweli lakini, ila mimi siwwzi kuolewa sababu ya maisha magumu Mungu anisimamie tu katika hili waiii [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…