Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Nyegela waituWakora bojo [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nyegela waituWakora bojo [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unanini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kapo kishari shari tu. Hata avatar ya kenyewe haiashirii mema...Hivi unanini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kujamba! Sawa kabisaKwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu, lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.
[emoji818][emoji818][emoji818]Kujamba huambatana na sauti, hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa. Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.
jamba kwa afya yako!Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu, lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.
jamba kwa afya yako!