Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu, lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.
 
Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu, na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria. Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen, asilimia 21 ni hydrogen,asilimia 9 ni carbon dioxide, asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen.
 
2. Kwa nini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?

Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu, vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio usababisha hili. Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama soda, maharage, kabichi na mayai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…