Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Virusi vingine vya mafua ni human coronavirus, influenza viruses, adenoviruses, human parainfluenza viruses, human respiratory syncytial virus, enteroviruses, metapneumovirus n.k. Mara nyingi mtu anaweza kuambukizwa virusi vya mafua vya aina mbalimbali kwa maana ya kimoja au zaidi ya kimoja vyote katika kipindi kimoja.
 
VIPINDI AMBAVYO MAAMBUKIZI YA MAFUA YAPO JUU.

Kwa kawaida mlipuko wa mafua hutokea zaidi wakati wa mvua na baridi kali. Hii ni kutokana na uwezo wa virusi vya mafua kusambaa kwa kasi zaidi kipindi cha baridi kuliko vipindi vingine. Sababu nyingine ni kwamba wakati wa baridi ni rahisi kupata maambukizi ya virusi vya mafua kwa njia ya hewa kupitia mfumo wa kupumua.
 
SEHEMU AMBAZO NI RAHISI KUPATA MAAMBUKIZI YA MAFUA.

1. Utafiti umebaini kuwa watu wanaosafiri kwa ndege kwa muda mrefu kuanzia saa moja na kuendelea, wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa mafua.
Sababu hii kwa mujibu wa utafiti ni kwamba, kinga ya miili ya abiria wa kwenye ndege dhidi ya mafua huparaganyika kutokana na ukavu wa hewa ndani ya ndege. Unyevu wa hewa katika ndege inayosafiri zaidi ya saa moja hupungua kufikia kiasi cha asilimia 10 hadi 5.
 
Ukavu wa hewa au kupungua kwa unyevu katika hewa, husababisha vinywele (cilia) katika njia ya hewa kushindwa kukamata virusi vya mafua na kuvisafirisha hadi tumboni ambako kwa kawaida huunguzwa kwa tindikali (acid) ya tumboni na kufa. Mfumo wa upumuaji katika njia ya hewa huwa katika hali bora pale unyevu wa hewa unapokuwa kati ya asilimia 20 na 60.
 
[emoji7]
Screenshot_20180429-070826.jpg
 
DALILI ZA MAFUA.

Ugonjwa wa mafua unaweza kusababisha hali zifuatazo:
Kupiga chafya mara kwa mara.
Kutokwa na makamasi mepesi au mazito puani.
Kikohozi
Homa kali na
Kuziba kwa pua.
 
Dalili zingine ni pamoja na kichwa kuuma, uchovu wa mwili, kupoteza hamu ya kula chakula na hali ya kuwasha kwa koo.
Dalili hizi huanza ndani ya saa 16 tokea wakati wa kugusana na virusi au visababishi vya mafua. Hali huwa mbaya katika kipindi cha saa 24 hadi 72 ambapo virusi huwa vingi katika majimaji yatokayo puani. Katika kipindi hiki mgonjwa wa mafua huwa na uwezo mkubwa wa kuambukiza watu wengine. Dalili za ugonjwa wa mafua hutegemea zaidi uwezo wa mwili kupambana na ugonjwa.
 
*Kama Boss wako ni Shabiki wa Yanga na Arsenal, leo usiku ukilala ulale umevaa kabsa nguo za kazini*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom