[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] ngoja nikaangalie Man cty vs Liverpool mzunguko wa kwanza kwenye ligi...*_REKODI NYINGINE YAWEKWA DUNIANI, Simba ni timu pekee yambana mpinzani dk 90 bila kupigiwa kona, hii haijawai tokea Duniani_*
GudHabari zenu Wana jukwaa
Ukiamka uje unipe na matokeo ya Man City jamani
Kwani ulikula nini mbona umekua na fujo sana jamani?Kabaya zaid kale ka yusuuuufuuuuuu
Hahah!! Pa1 we canLeo nimefurahi sana wadau Kuna mtu kaanzisha Uzi wake anataka huu wetu eti ufutwe. Akapingwa mpaka kakimbia ila Uzi wake nao unakwenda speed huo. Ndo atajua nguvu ya watu wa LIKES.
Toa like upate likeSiamini hadi umu ninanyimwa likes. Nimeweka picha ina like 1 tu
Toa likes umwagiwe likesMbona kimya