huyu kama ni ke mwambie kabisa kuna single father hapa.[emoji4][emoji4][emoji39]Kwa heshima Na taadhima naomba kumkaribisha member Jodoki Kalimilo
akicomment tu Kama kawaida yetu naomba tumpe likes za kutosha Ili kumkaribisha........
kwani Marvel wana movie mpya saivi zaidi ya Black Panther?Alafu nao wapo humu ndani na mji wao ile, hautajuta kuicheck hii kitu mkuu....
kampiga mtu kofi la vidole vinne [emoji16][emoji16]Ukiamka uje unipe na matokeo ya Man City jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wadau leo walikua na hasira
Ahsante aisee nimekuja kuuongezea nguvu uzi maana zengwe limeanza la kutaka kuufuta wakati imebaki mwezi mmoja na siku kadhaa uzi utimize mwaka mmoja. Jembekillo nimeitikia wito aiseeKarbu Jodoki Kalimilo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]Ahsante aisee nimekuja kuuongezea nguvu uzi maana zengwe limeanza la kutaka kuufuta wakati imebaki mwezi mmoja na siku kadhaa uzi utimize mwaka mmoja. Jembekillo nimeitikia wito aisee
Hahahaha mke kafikisha ujumbe kupitia kwa mtoto. Ameona jamaa haeleweki eleweki
[emoji23][emoji23] itakua uliilamba yenyeweNilikula pilau masala
Hahaha huyo ni mke wake ndo kaamua kufikisha ujumbe kupitia kwa mtt, jamaa hasomeki aisee na hyo ndo njia rahisi, na mtt akishikilia bango hapo atageuza wimboHahahaha mke kafikisha ujumbe kupitia kwa mtoto. Ameona jamaa haeleweki eleweki
Kula like mkuuAsubuhi njema
huyu kama ni ke mwambie kabisa kuna single father hapa.[emoji4][emoji4][emoji39]
Ahsante aisee nimekuja kuuongezea nguvu uzi maana zengwe limeanza la kutaka kuufuta wakati imebaki mwezi mmoja na siku kadhaa uzi utimize mwaka mmoja. Jembekillo nimeitikia wito aisee
Chief mbona mbio sasa, hahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]
Ndio hiyo imeachiwa tarehe 23/4kwani Marvel wana movie mpya saivi zaidi ya Black Panther?
King nasikia kafanya yakekampiga mtu kofi la vidole vinne [emoji16][emoji16]