Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Bro mambo vp[emoji23][emoji23] itakua uliilamba yenyewe
Bro mambo vp[emoji23][emoji23] itakua uliilamba yenyewe
Tena wewe nilikuona ule uzi ndio uligeuka wako.. hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna hayawani alitutibua.
Hahah!! Karibu sana mkuuAhsante aisee nimekuja kuuongezea nguvu uzi maana zengwe limeanza la kutaka kuufuta wakati imebaki mwezi mmoja na siku kadhaa uzi utimize mwaka mmoja. Jembekillo nimeitikia wito aisee
Safi ndugu, vp kwema wewe?Bro mambo vp
Ahsante mkuuHahah!! Karibu sana mkuu
Kwema kabisa, kumekucha salama, vp hukoSafi ndugu, vp kwema wewe?
Huku alhamdulilah!...Kwema kabisa, kumekucha salama, vp huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Nilikula pilau masala