Na safari hii tuwe ngangari kabisa. Hata Numbisa, Carba na Pyaar waseme nini tunagangamara kabisa kabisa hakuna kulegeza kamba. Na safari hii tukape KaYego uenyekiti. Kenyewe kidogo kako ngangari kuliko sisi. Itasaidia sana bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]