Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wajumbe wa Fifa ambao hivi karibuni walizitembelea nchini hizo zinazotaka kuwa mwenyeji kwamba kulikuwa na kauhusiano kati ya Samoura ambaye jina lake ni Fatma Samba Diouf Samoura na mchezaji wa zamani wa Liverpool El Hadji Diouf, ambaye anafanya kazi ya kuinadi Morocco kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia 2026 akiwa kama balozi. Wote kwa pamoja Samoura, 55, na Diouf wanatoka Senegal na kwamba hapa kunaingia suala la maadili.