Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

23161433_144955822795466_3486661331430408192_n.jpg
 
Mbunge wa Rombo, (Chadema) Joseph Selasini ameomba mwongozo bungeni akilalamika kuwa viti vya bungeni ni vibovu.

Ameyasema hayo leo Aprili 30, bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu na kuhoji ni lini serikali itakarabati viti hivyo.

“Lini Serikali itakarabati viti hivi, hiki nilichokalia leo asubuhi kimenifinya makalio.” Amesema Selasini.
 
HAKUNA suala lolote linalohusu soka kukosa zengwe. Katibu Mkuu wa zamani wa FAT, marehemu Kanali, Ali Hassan Mwanakatwe aliwahi kusema soka inaundwa na vitu viwili, FF yaani ‘Football Fitna’. Ndivyo ilivyo.

Hiyo haiko kwenye vyama vya soka, au mashirikisho hata kwenye taasisi kubwa kama Fifa, CAF, UEFA na hata kule Asia.

Sikia hii. Katibu Mkuu wa Fifa, Fatma Samoura, ameundiwa zengwe na inaelezwa kuwa tayari amepekwa kwenye Kamati ya Maadili ya Fifa.
 
Samoura, aliteuliwa na Rais wa Fifa, Gianni Infantino Mei, 2016, anadaiwa kuvunja sheria za utendaji kazi wake “kutoa taarifa za ndani, ushirikiano na mgongano wa kimaslahi.

Madai ya kwanza ni kwamba amekuwa akiibeba Morocco kuwa mwenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia 2026. Taifa hilo la Kaskazini mwa Afrika linapigana vikumbo na Marekani, Canada, na Mexico.
 
Back
Top Bottom