ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
yanapatikana ufipani?Yale mabumunda ya kiasili au ??
Mkuu sina MB nitumiea kifurushi basi..ingependeza ungekuwa unatuwekea na picha mkuu vyakula vingine vigeni kwa sisi watu wamikoani huku.
ni pendekezo tu mkuu.
Mapishi yako tu mkuu, unayapika popote pale duniani.yanapatikana ufipani?