Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-04-29-19-51-16.jpg
 
Je, wewe unauonaje mfumo kama huu, unastahili kuruhusiwa pale ndugu, madaktari au mahakama ikiruhusu mgonjwa akatishiwe maisha?
Inakua ni mtihani kweli ni bora tu Mungu amchukue mwenyewe....

Japo kuna situation huwa wagonjwa wanafikia kuumwa adi unamuhurumia unatamani bora tu afariki ili akapumzike, lakini linapokukuja swala tena la wewe ndio utoe uamuzi wa kufanya mjonjwa awahishwe mapumzikoni inakua mtihani...

Mana utakua na mawazo kua Mungu anaweza kutenda miujiza yake mgonjwa akapona hapo baadae....
 
Back
Top Bottom