Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karanga mbichi
Chakula atumiacho Andjul asubuhi na kabla ya kulala.
Mkuu hiyo chakula ni ya Kichwa Kichafu na mtu wake wa karibu "dogo janja" uniq.
IMG_20180430_205541.jpg
IMG_20180430_205514.jpg
IMG_20180430_205450.jpg
 
Wachezaji wa Newcastle hatimaye walipata fursa ya kushiriki sherehe yao ya Krismasi mwishoni mwa wiki. (Newcastle Chronicle)
Mkufunzi mkuu wa Watford Javi Gracia amesema ana imani kikamilifu na watabibu wa timu hiyo licha ya kutokea kwa msururu wa visa vya wachezaji wa klabu hiyo ya Vicarage Road kuumia. (Watford Observer)
 
Back
Top Bottom