Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahha huyu jamaa huwa anavituko sana
Udumu daimaUpendo udumu ndani ya Uzi
Driffting
Binti mpole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]aiseee tunao sema hatujiamini, tunaona kama tukisema tutapelekea mengine, na pia tunaamini sana na kupenda sana ndio maana. Ila mimi nikikunyamazia mara mbili tatu asee nakuchana tu.Mngekuwa na huo uwezo msingekuwa mnadanganywa kirahisi vile [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️