Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4. ANDROID

Ilitengenezwa na kampuni inayoitwa Android Inc. na baadaye kampuni ya Google ikapendezwa nayo na ikainunua hii programu endeshi na kuitumia katika smartphone zake.
Kwahiyo yeyote anayetumia smartphone ya Google ajue ndani yake kuna programu endeshi ya Android.
 
5.WINDOWS PHONE OS

Programu endeshi(Windows phone OS) ilitengenezwa na kampuni ya Microsoft na ilibuniwa kwa ajili ya kuwezesha uundaji wa mtandao wa kijamii na ujumbe wa papo kwa papo baina ya watumiaji.
 
Kule coasti kunaeza kuwa tricky pia wakubwaa... Unaona bibi ya neiba wako apo kwa ploti ametoka bafu na leso imeandikwa "Heri nimpe jirani kuliko kiozee ndani". [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Temptation zinaanza kukukamata[emoji23][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…