Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Russian roullete
Kula like mkuuNilipendekeza huu uzi ufutwe
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kwema?Unawakumbuka watoto hawa wa Temeke miaka ile....?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pyaar=Love=Lugano...Hata mimi leo sijamuona. Lile jicho lake linaloona mpaka rohoni leo sijaliona [emoji23][emoji23][emoji46]
Kwema mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pyaar=Love=Lugano...
Kwema kabisa ndugu yangu, habari ya siku nyingi?Kwema mkuu?
Nzuri kabisa. UlipoteaKwema kabisa ndugu yangu, habari ya siku nyingi?
Ni kweli,ila nakujaga mara moja moja,nadhani tunapishana kidogo tuNzuri kabisa. Ulipotea
Oooh! Basi sawa mkuu...Uzima upo?Ni kweli,ila nakujaga mara moja moja,nadhani tunapishana kidogo tu
Oooh! Basi sawa mkuu...Uzima upo?
Hahahahaha!Afadhali umekuja! Watu walilimisimo hilo jicho jana! [emoji23]
Unaziweza hesabu?[emoji23][emoji23][emoji23]