Kiasi chake..Unaziweza hesabu?
Mi nilionaga kama vile wananipotezea muda tu nikafika mahali fulani nikakutana nazo nikasema shwainiii
Jicho hilo siku nzima jana linatafutwa. Kazi kweli kweli ila kwa sisi wagumu tunaona kawaida tu [emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali umekuja! Watu walilimisimo hilo jicho jana! [emoji23]
Hilo jicho lilikuwa haliwachanganyi walimu? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Kiasi chake..
Nilikuwa nikiamua kuelewa naelewa, nikiamua kutokuelewa sielewi kweli..
Hesabu kwangu ilikuwa ni UAMUZI.
Hahahahaha!
Kwema mkuu?
Hahahahaha!Hilo jicho lilikuwa haliwachanganyi walimu? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Jicho hilo siku nzima jana linatafutwa. Kazi kweli kweli ila kwa sisi wagumu tunaona kawaida tu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mgumu hatetereki sioJicho hilo siku nzima jana linatafutwa. Kazi kweli kweli ila kwa sisi wagumu tunaona kawaida tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo kumekucha!Poa kabisa, naona kumekucha!
CHACHAWA MPYA chini ya uenyekiti wa Yego itakuwa tishio. Subiri utaona. Nimeomba Ukatibu Mkuu !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mgumu hatetereki sio
Kweli aisee. Ngoja nikaucharaze. Samahani kama nimekukwaza mkuu. Ukawe na siku njema na iliyobarikiwa sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahahahaha!
Ulale sasa, maana naona usingizi umeanza kukusumbua.
[emoji23][emoji23][emoji23], haya bwana.CHACHAWA MPYA chini ya uenyekiti wa Yego itakuwa tishio. Subiri utaona. Nimeomba Ukatibu Mkuu !!!
[emoji120][emoji120][emoji120], Mungu akutangulie katika usingizi wako..Ukawe na njozi njema.Kweli aisee. Ngoja nikaucharaze. Samahani kama nimekukwaza mkuu. Ukawe na siku njema na iliyobarikiwa sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji120][emoji120][emoji120], Mungu akutangulie katika usingizi wako..Ukawe na njozi njema.
Huwezi kunikera hata nikupe miaka 100.
ASANTE.
Ndiyo kumekucha!
[emoji120][emoji120][emoji120], Ukawe na usiku mwema.Basi uwe na siku njema!
[emoji120][emoji120][emoji120], Ukawe na usiku mwema.