myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wafanyakazi wooote
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyumba haina mlango[emoji23] [emoji23]
Namshukuru Mungu pia sikukuu ya Wafanyakazi inaenda vizuriAisee niko poa kabisa na hali ni shwari pia, namshumuru Mwenyezi Mungu. Vipi weye kwenye hii Sikukuu ya Wafanyakazi.
[emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unayo?Ata sijui embu ngoja nikavunje yai moja nikuletee mrejesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wasalimie sana huko japo muandiko wako haujakaa kama upo huko
Aisee kiini ni cheusi rafikiKumbe unayo?
Sawa nasubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zoom picha mlango utauona umefungwa
Ndio!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna muandiko wa sehemu na sehemu rafiki?
Rudi tena kwenye picha ukague[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko poa BAK sijui wewe?Mzima ledada? Vipi sikukuu ya Wafanyakazi?
DaahAisee kiini ni cheusi rafiki