Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
I am your passenger...................
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hi sijaaga. Jizazi. Mbona unaniwahisha?
Hakuna kilichonikwaza. Hata ukikwazwa mambo ya mtandaoni haya who gives a damn?
Nilikuwa naweza kusoma vitabu hata vitatu kwa mwezi leo hii naishia chapters tu. Uzi huu hatari sana !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiShogako anaweza ila wewe sidhani. Unapenda mno mabifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe naweza wuhuuuu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Binti mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naanza sijui lini kwa kweli[emoji23][emoji23]Naanza kesho kwakweli hahaa
Kijana mkorofiiiiBinti mpole
Mkoromije si shogako yupo mtanie tu? Au unamwogopa? Aisee hutupendi na siku utakayokatiza mitaa yetu tutakugombania kama mpira wa kona. Bakia huko huko Mwakaleli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesikitika ndo mana.
Maana tutakosa ufafanuzi wa kina humu,halafu nitakosa mkoromije wa kumchokoza[emoji17][emoji17][emoji17]
Unichukue tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wewe ni wife material Binti mpoleTujaribu mwenzangu tutaweza tu hahaha
the mafikI am your passenger...................
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cole ananiona mimi ni kivuruge humu,hawezi nisifia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka cole akusifie ndo ntaamin
Mzee wa ATUPOI kaja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Atupoi
Tuanze kesho bhana[emoji23][emoji23]Naanza sijui lini kwa kweli[emoji23][emoji23]