Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maombi aendeshe Andjul [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huu uzi umenifanya nipoteze hadhi ya ubabu.
Hata nijitahidi vipi kushusha maombi, nitaishia kuitwa majina ya ajabu ajabu, mara "dahh! Mzee wa Mwakaleli yupo vizuri kwenye maombi"....mwingine "hahahaaa mzee wa chenza kwenye ubora wake " mwingine ndo atajaribu kabisaaa...
"jamani jamaniii!!!! Kama naona muinuko wa saksafoni pale mbele, huyu mzee sijui atazeka lini?"

Niseme tu sitashiriki [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Narudia tena. U wifey material HAUIGIZWI !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…