Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eti watoto wa kishua maandaeitini vimbaumbau nao wanataka kuekti u wife material...Kuleni raha kwanza...
 
Mkoromije si shogako yupo mtanie tu? Au unamwogopa? Aisee hutupendi na siku utakayokatiza mitaa yetu tutakugombania kama mpira wa kona. Bakia huko huko Mwakaleli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namuogopa[emoji85][emoji85]
Halafu wewe ndo mnyonge wangu humu,hujui tu.sasa ukiondoka nitamchokoza nani mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]waaaaiiiiii.

Koromije nitakuja tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitacheka sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nicheke bila adabu,khaaaa!!!
 
haha hahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…