ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Vipi Cole?Mmmh.
Vipi Cole?Mmmh.
Zipo kati kati tu, vipi reli yenu huko iko poa?Salama za kwako?
Mbona katikati? Iko vizuri kabisa sijui huko kwa makonda? Fly ova tayari kumalizika nikuje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zipo kati kati tu, vipi reli yenu huko iko poa?
Kati kati sindio kawaida best yani sio mabaya wala sio mazuri, fly ova pale TAZARA sijapita kitambo ila lilikua linakimbia sana mana pesa za mishara sindio zinakimbiziwa huko [emoji2]Mbona katikati? Iko vizuri kabisa sijui huko kwa makonda? Fly ova tayari kumalizika nikuje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anhaa sawa best likiisha niambie nikuje kushangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kati kati sindio kawaida best yani sio mabaya wala sio mazuri, fly ova pale TAZARA sijapita kitambo ila lilikua linakimbia sana mana pesa za mishara sindio zinakimbiziwa huko [emoji2]
Hahah!! Aya wewe nichore tu [emoji16]Anhaa sawa best likiisha niambie nikuje kushangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa mkuuSteemit; social network inayokulipa pesa unapoandika makala, unapopata likes, comments and shares
Uzi huu unawahusu watu wote wa humu. Mkausome tafadhali.