MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Hahahaha, ila binafsi nahisi MJ yuko juu ya hawa watu.Ndioo
Hahahaha, ila binafsi nahisi MJ yuko juu ya hawa watu.Ndioo
Sidhani kama ni sahihi kukataza vazi hilo kwa madai eti vazi hilo ni kiashiria cha kuvaliwa na mwanamke aliye bikira..Kama ndivyo basi akataze kabisa kuvaliwa kwa vazi hilo kanisani muda wa kufunga ndoa kwa maana siku hizi wengi wanaolewa/kufunga ndoa tayari wakiwa washakuwa machungwa na wengine wakiwa tayari washakuwa mama wa watoto hata 5 na kuendelea (wanakatili uhai wa viumbe hivyo vingali tumboni) Au ni vile tunaangalia kinachoonekana????Whai?
Mimi sina ielewa mkubwa juu ya hili swala ila nashukuru kwa ufafanuzi pia humu kuna mkuu Malcom Lumumba kama akijisikia kuelezea najua atakua na vitu vya ziada.....Nashukuru kwa kuuliza
Mimi nitakujibu vile navyo jua.
Israel ni nitaifa moja wapo lililo barikiwa na Muumba(kwa mujibu wa historia) ndani ya nchi hiyo kuna 'jewish' na pembeni ya nchi hiyo kuna palestine ambao wengi ni Arabs.
Kwa sababu za utofauti wao wa kiimani na kiitikadi ladhima kutakuwa na upinzani/ kukinzana iwe ni kugombania ardhi au vitu vya thamani kubwa mfano madini.
Kama nitakuwa nipo wrong ruhusa 100% kunikosoa.
Sidhani kama ni sahihi kukataza vazi hilo kwa madai eti vazi hilo ni kiashiria cha kuvaliwa na mwanamke aliye bikra..Kama ndivyo basi akataze kabisa kuvaliwa kwa vazi hilo kanisani muda wa kufunga ndoa kwa maana siku hizi wengi wanaolewa/kufunga ndoa tayari wakiwa washakuwa machungwa na wengine wakiwa tayari washakuwa mama wa watoto hata 5 na kuendelea (wanakatili uhai wa viumbe hivyo vingali tumboni) Au ni vile tunaangalia kinachoonekana????
Aache watu wavae bwana..
Acha dunia iitwe dunia kwakweli...[emoji23]Daaah, hii dunia hiii......
Tutafanyaje sasa bwana......If you can't have it just admire it!Acha dunia iitwe dunia kwakweli...[emoji23]
Anayefunga mjamzito na asiye mjamzito wote wamefanya UASHERATI. Sema huyo mjamzito tayari ana alama ya ushahidi.Kanisa letu Takatifu haliruhusu uasherati kabla ya ndoa.Tumeshaamua hivyo na haturudi nyuma kamwe kama Kidumu.
[emoji23][emoji23]Tutafanyaje sasa bwana......If you can't have it just admire it!