MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Aiseee.....nakuahidi mtoto wangu wa kwanza ataitwa kemet .....pasipo kujali jinsia yake
Aiseee.....nakuahidi mtoto wangu wa kwanza ataitwa kemet .....pasipo kujali jinsia yake
Ubaya haturuhusiwi kutoa likes zaidi ya moja.Hebu nendeni page ya kwanza mkampe likes za kutosha mbunifu wa huu uzi halafu ndio tuendelee
Ataweza kumeza?Kula like
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kapumzishe jezi basi[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji125] [emoji125]kama namuona carba vile[emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bagesh na huyu mlangira mbona mmeingia nae pamoja toka huko banned kuna jitu hapaaa in daddy voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu niache
Nimeacha ukorofi tangu jana mimi.
Dadiiiii amu homuuuuu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]upako uleeeeeKuna jamaa aliwahi kusema kwamba nishati ipo kwenye soketi. Uchomeke kifaa hapo usichomeke haiathiri nishati iliyoko pale...
Hata sijui nasema nini...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Sababu ni mdada halafu anajibu hapo hapo ndo maana hawalet fujoNaona hawajamwandama kama yule jamaa muuza nafaka ila naye katokelezea. Kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni sema tu kamba zinatofautiana [emoji16][emoji16][emoji16]