Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawa watu wanaimbaga kwa bafu waukua wanaogopa maji sanaa,mtu anaingia kwa bafu anaimba mix tatu za demakufu na akitoka bado ananuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Wanajijua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi kitu hunishangaza ni venye madem hutoa BRA kama bado wako na blouse[emoji848].
Nimejaribu kutoa socks bila kuvua viatu, karibu nivunjike mguu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

nilikosea Wapi [emoji30][emoji30][emoji37]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…