Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ngumu Mkuu ili mcheza kwao hutuzwa. Nampa karatsa yangu Roma ila sijui kama watafikisha goli 3-0 ili kuwatoa Liverpool. Liverpool wakiamua kudefend goli zao tano basi watajiweka hatarini kutolewa.
Na ubaya wa hawa jamaa wanacheza mpira wa kufanana wote wanashambulia,siamini km Liverpool atataka kudfend leo lazma ashambulie na yy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…