Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee andjul mbona umekengeuka?
Mzee mwenzangu kataa kuzeeka. Hivi vikuku vya kizungu hata kama hauna meno vina mung'unyika.
Mung'unya ndugu yangu, tuwasaidie hawa watoto, rika lao vivulana vipo bize kulegeza tumatako twao tulito sinyaa utadhani ugali wa mtama ulio suswa na watoto watukutu (hata sijui Shimba ya Buyenze aliuona wapi!!) huku suruali zikiwa mapajani.
Yaani binti ana msambwanda, sio mvaa yunifomu, amekatisha katiiiii.... mbele yangu[emoji12] [emoji12] [emoji12] atafyonzwaa utelezi wote utaisha.
Nimezeeka sana ila dharau sipendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…