ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
*Wachagga hii tabia mmeianza lini? Eti kijana wenu aliyeko Korea, Kimario Jonathan Urassa sasa anajiita Kim Jon Ur!*[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Imenibidi nifurahi tuMuongo ww kwani we huna tamaa???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Wachagga hii tabia mmeianza lini? Eti kijana wenu aliyeko Korea, Kimario Jonathan Urassa sasa anajiita Kim Jon Ur!*[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂
[emoji23][emoji23][emoji23]*Wachagga hii tabia mmeianza lini? Eti kijana wenu aliyeko Korea, Kimario Jonathan Urassa sasa anajiita Kim Jon Ur!*[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂
Huku jua kali tu rafiki mvua hakunaVp mvua huko?
Mtoto wa kiume akikosa simulizi za maisha kutoka kwa mama mzazi/mlezi,matokeo yake ndio hayo.Mchezo mbaya huuView attachment 764654
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mtoto wa kiume akikosa simulizi za maisha kutoka kwa mama mzazi/mlezi,matokeo yake ndio hayo.
Thamani ya mwanamke haijawahi kubadilika ila umuhimu ndio hutofautiana. Mama ni muhimu sana, ila ana thamani sawa na wanawake wote, tuwathamini, tuwa heshimu na ikibidi tuwapende hata kwa kuji lazimisha.
"ukitaka kukosa likes zangu jisifie umempiga 'kishenzi' mwanamke wako"
Dah! Aisee[emoji23][emoji23]Mzee mwenzangu kataa kuzeeka. Hivi vikuku vya kizungu hata kama hauna meno vina mung'unyika.
Mung'unya ndugu yangu, tuwasaidie hawa watoto, rika lao vivulana vipo bize kulegeza tumatako twao tulito sinyaa utadhani ugali wa mtama ulio suswa na watoto watukutu (hata sijui Shimba ya Buyenze aliuona wapi!!) huku suruali zikiwa mapajani.
Yaani binti ana msambwanda, sio mvaa yunifomu, amekatisha katiiiii.... mbele yangu[emoji12] [emoji12] [emoji12] atafyonzwaa utelezi wote utaisha.
Nimezeeka sana ila dharau sipendi.
Kupatwa kwa drone
Mweee jubha ghwanghu ufuaaa.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah! Aisee[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23], twamasiku mmanyani?Mweee jubha ghwanghu ufuaaa.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]