Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Marais wengi wanakuwa na umri mkubwa (60+) wanapoingia madarakani; na mara nyingi wake zao pia wanakuwa wameshamalizana na ishu za kuzaa. Naamini waliokuwepo wakati Nyerere akichukua madaraka bila shaka watakuwa wamewahi kumuona Mama wa Taifa Maria Nyerere akiwa na mimba....
Bila matataJioni ya likes
Haina noma ndugu, vp lakini kwema?Haha kawaida bro
Hizo bikra wanazikagua(je)?
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Oooooh. Hata huyu legend naye?
Ndo hapo. Dhamira ya wahusika ndiyo kaguziHizo bikra wanazikagua(je)?
Yaani mwisho wa dunia umewasili sasaOooooh. Hata huyu legend naye?
Jizazi...