Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Aliaga anapumzika kidogo ila aliniambia nikwambie etiShimba ya buyenze umepotelea wapi tena?
Ameenda kulala ametuaga maana ametoboaShimba ya buyenze umepotelea wapi tena?
Inabidi uwe makini humu mbwa mwitu ni wengiShimba ya buyenze umepotelea wapi tena?
Niko makini cole ni venye tuu nacommentInabidi uwe makini humu mbwa mwitu ni wengi
pokea like ya kichwa kichafuAmeenda kulala ametuaga maana ametoboa
Baba, mkata mitaa.Nipo vizuri, baridi inazinguaandjul niambie, kwema
Na alinipa zawadi yako nikufikishie..Niko makini cole ni venye tuu nacomment
zawadi gani? mwambie asante sanaNa alinipa zawadi yako nikufikishie..
Hadi unafikia hatua ya kupima maana yake anauwezo nacho, aache kulia lia,alipe abebe mizigo wake
KilichonishangazaUmesahau nini tena
Umechekewa wewe