cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Supuuuuuuuu
Hahahaaaa... Umeamkaje mzee mwenzangu! Ahsante kwa kengele hiyo uliyoigonga ili tuamke. Habari ya asubuhi wakuu humu ndani
Kwamba leo haurudi nyumbani ,umeniacha au umenipa likizo?Hadi unafikia hatua ya kupima maana yake anauwezo nacho, aache kulia lia,alipe abebe mizigo wake
[emoji102]Likizo ya kujipangia tamuuu