Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Waache wacheke tu. It's their time [emoji23][emoji23][emoji23]Inaniuma napoona mabinti wachangamfu wanacheka cheka na hawa vijana
Waache wacheke tu. It's their time [emoji23][emoji23][emoji23]Inaniuma napoona mabinti wachangamfu wanacheka cheka na hawa vijana
Huko PM wala hawaongei mambo ya maana. Ni vitu kama "Xaxa unaxemaje?" Usiogope sana!Mara unaanza kusoma njoo pm sijui njoo wapi...
Ushauri mzuri sana kutoka kwa dada mkubwa!Jitunzeni mabinti wengi humu waongooooo
lazimaMumeo au mkeo umempa busu asubuhi hii iliyojaa smile?
Ulikua shift ?mbona umekuja kwa mbwembwe wakati nmekesha hapa mpaka saa 9 "sijakutia" machoniAsubuhi mimi naingia kulala
Halafu wivu kwa wanawake wenzao
[emoji8] [emoji8] [emoji8]morninggggggg
Leo umetoa ushauri wa maana sana!Haswa ukiwa haupo kwako beba kwa handbag
Mkuu unakaba mpaka penati[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuheshimiane mkuu. Nakuomba sana [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa Jakitoo tutauana!
WamelalaaaaaaaAu bado hamjaamka
Pole mkuuThanks mkuu.
[emoji15] [emoji15] makubwa nipo mkuuNyiramba Girl kwema? Juzi ulitafutwa sana humu mpaka mtu fulani akasingiziwa kuwa amekuteka.
Kwa araC ndo hua ananichefuaLeo umetoa ushauri wa maana sana!
tumeamka mkuuAu bado hamjaamka
Nyiramba girl, njoo unaitwa na Chibumbu!Nyiramba girl
Hahahaaaa... Umeamkaje mzee mwenzangu! Ahsante kwa kengele hiyo uliyoigonga ili tuamke. Habari ya asubuhi wakuu humu ndaniHa ha haaaaaaa
Hapana kumbe... haga siamini kwani bakora imakuwaje haswa