nyiramba girl
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 778
- 4,167
abee mkuuNyiramba girl
abee mkuuNyiramba girl
Hello jakitoo... Mzima mama?karibu tena dingimtoto
Huku mambo ya araC hayatuhusu na mtanange wa mafisi vs manyumbu haupo. Huku ni TOA LIKES POKEA LIKES basi !Kwa araC ndo hua ananichefua
Salama, kwema mkuu. Unaadimika sana hukuTuko poaa ..wewe je
Kuna vijana walikuwa wanakumendea na ulipopotea ghafla wakaanza kutuhumiana. Tena mmoja ulipopotea tu naye akapotea..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] makubwa nipo mkuu
Ahsante kwa ulinzi maana tungeibiwa like zetu [emoji1] [emoji1] [emoji1] Good morning brotherWameamka freshi ila mimi sikulala
Lisilopaswa kufanywa hufanywa!Mkuu unakaba mpaka penati[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya dunia mengiKuna vijana walikuwa wanakumendea na ulipopotea ghafla wakaanza kutuhumiana. Tena mmoja ulipopotea tu naye akapotea..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa hekima, niaje mkuu. Habari ya asubuhiNi hela za kisaikolojia. Ukifungua macho yako ya kisaikolojia utaziona tu!
Morning too brotherAhsante kwa ulinzi maana tungeibiwa like zetu [emoji1] [emoji1] [emoji1] Good morning brother
miw hap mkuuNyiramba girl, njoo unaitwa na Chibumbu!
nyiramba baby... I miss you.... Have a lovely daymorninggggggg
Kwema kabisa mpendwa.kwema jamani??
i miss you 2..kwema??nyiramba baby... I miss you.... Have a lovely day
Hahahahaaa mzee wa kibumbu, naona naona..... Good morning brother[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji39] [emoji39]