Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1525260707420.jpeg
 
Yaaani ugomvi huo achaaaa, Utasikia tumeshasoma tayari....
Ukienda chumbani unakuta hivyoo vimekuja tunaomba Laptop au simu yako tucheze gemu....!
Huwa naviangalia nashindwa kuchukia basi naishia kufurahi tu, jumamosi unasema ulale upumzike unakuta saa kumi na mbili hako ndani ya Blanketi na mnyeramumu kanaanza kukuongelesha. Basi tu unashindwa hata kuchukia......!
Haha ndo wakati wao huo mkuu, utoto ni raha sana, hawajui walifanyalo wanakuwa wanaona wako sahihi kwa kila kitu na wanahaki nacho pia
 
Back
Top Bottom