Tuweni wagumu tu hakuna kitu siwezi vumilia kama nijue nachapiwaNi kufumba macho tu mkuu azawaisi unaweza kujikuta unakwenda hata kwenye useja huko. Kuchapiwa kuko pale pale tu...ni siri ya ndani...na kitanda hakizai haramu...Njia yako kuu ndiyo mchepuko wa mwenzio (endi vaisi vesa)...
Ndiyo, mkuu!Aiseee hawa watoto walipindua tokeo?
Mpira hauna adabu mkuuNdiyo, mkuu!
Wamepindua matokeo, ni dakika ya 112 sasa.
Hatari sana mkuu yani juhudi na jitihada vimeshindikana
Mkuu Davet si mchezoHatari sana mkuu yani juhudi na jitihada vimeshindikana