Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mkubwa mkubwa tuFULL TIME: Red Bull 2-1 O.Marseille (AGGREGATE 2-3).
Kwa heri Red Bull tutaonana mwakani.
FINAL: Atletico Madrid vs Olympique Marseille
Mkubwa mkubwa tuFULL TIME: Red Bull 2-1 O.Marseille (AGGREGATE 2-3).
Kwa heri Red Bull tutaonana mwakani.
FINAL: Atletico Madrid vs Olympique Marseille
Inasikitisha sana ila kuna comment za wadau tena zinakatisha tamaa kweliMkuu Davet si mchezo
JF kuna watu sijui wanafikiriaga nini, wakati bora ukae kimya tu lakini mtu Ili apost tu anatapika chochote kazi Kweli KweliInasikitisha sana ila kuna comment za wadau tena zinakatisha tamaa kweli
Tuweni wagumu tu hakuna kitu siwezi vumilia kama nijue nachapiwa
Ndio hivyo mkuu Kwenye watu wengi kuna mengiJF kuna watu sijui wanafikiriaga nini, wakati bora ukae kimya tu lakini mtu Ili apost tu anatapika chochote kazi Kweli Kweli